The portal Vatican News uses technical or similar cookies to make navigation easier and guarantee the use of the services. Furthermore, technical and analysis cookies from third parties may be used. If you want to know more click here. By closing this banner you consent to the use of cookies.
Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katokiki Afrika na Madagascar, SECAM ni matunda ya maadhimisho ya Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican, uliowahamasisha Maaskofu kutoka Barani Afrika ...
Lengo ni kukuza na kudumisha dhamana, utu, heshima na tunu msingi za maisha zinazoiwezesha jamii kutekeleza mafao ya wengi. Kumbe, utekelezaji makini wa siasa safi ni changamoto ...
Mafundisho Jamii ya Kanisa yanapata chimbuko lake mintarafu kanuni na muundo wa elimu fahamu, taalimungu maadili ambayo ni dira ya maisha ya watu. Yanachota amana na utajiri wake ...
Teknolojia ya akili mnemba inaweka mbele ya Jumuiya ya Kimataifa changamoto pevu hasa katika kipindi hiki cha maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia. Nafasi ya binadamu katika ...
Papa anakazia ukuhani wa waamini wote; umuhimu wa waamini kushiriki kikamilifu Sakramenti za Kanisa; Majadiliano ya kidini, kiekumene na kitamaduni; ari na mwamko wa kimisionari ...
VIPAUMBELE 2023-2027: WUCWO itaimarisha, kuendeleza na kupanua Mradi wa Uangalizi wa Masuala ya Unyanyasaji kupitia mradi wa WWO; Itatetea Uhuru wa kidini: msingi wa njia ya udugu ...
Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa maadhimisho ya Siku ya 103 ya Waamini Wakatoliki nchini Ujerumani, “Katholikentag” anakazia kuhusu umuhimu wa waamini Wakatoliki ...
Baba Mtakatifu Francisko, Jumatatu amekutana na kuzungumza na Monaki wa Kibudha. Katika hotuba yake amekazia umuhimu wa kujenga na kudumisha mahusiano na mafungamano ya kijamii; ...
Fumbo la Utatu Mtakatifu sana ndilo Fumbo la Msingi la imani na la maisha ya Kikristo. Ni Fumbo la Mungu ndani yake mwenyewe. Kwa hivyo ni chemchemi ya mafumbo mengine yote ya ...
Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa Maadhimisho ya Siku ya Kwanza ya Watoto Ulimwenguni kwa Mwaka 2024 anawakumbusha watoto kwamba, wao wana thamani kubwa sana machoni ...
Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake amejikita katika mambo makuu matatu: yaani kazi zenye staha pamoja na viwanda vya uziduaji, ili viweze kuwa na manufaa kwa nchi ambazo ...
Kristo Yesu ndiye mzabibu wa kweli na waamini ni matawi yake na Mwenyezi Mungu, Baba mwenye huruma ndiye mkulima anayeifanya kazi hii kwa uvumilivu mkubwa, changamoto na mwaliko ...
Padre Charles Kitima, Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika mahojiano maluum na Radio Vatican anasema mvua kubwa zinazoendelea kunyeesha nchini Tanzania ...
Chama cha Skauti ya Wakatoliki wa Italia, MASCI, kinaadhimisha kumbukizi ya Miaka 70 tangu kuasisiwa kwake kwa kunogeshwa na kauli mbiu “Maisha zaidi kwa ajili ya maisha”: “Più ...
Alhamisi tarehe 4 Aprili 2024 Viongozi Wakuu wa Dini Duniani na Dini za Jadi wamekutana na kuzungumza na Baba Mtakatifu Francisko mjini Vatican. Katika hotuba yake, Baba Mtakatifu ...
Baraza la Maaskofu Katoliki Brazil, CNBB, kuanzia tarehe 20-22 Machi 2024 huko Brasilia wameadhimisha Juma la Sita la Kijamii Nchini Brazil “Semana Social Brasileira” kwa ...
Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa Maaskofu hawa anakazia kuhusu: Wakimbizi na wahamiaji Amerika ya Kati; Ukarimu kwa wakimbizi na wahamiaji, Shughuli za kichungaji ...
Ni katika maadhimisho ya Sherehe ya Mt. Yosefu, Mume wake Bikira Maria, tarehe 19 Machi 2013, Baba Mtakatifu Francisko aliposimikwa rasmi kuwa Khalifa wa Mtakatifu Petro wa 266 kwa ...
Baba Mtakatifu Francisko kwa namna ya pekee, anapenda kuyakumbuka matukio makuu matatu katika maisha na utume wa Mtakatifu Thoma wa Akwino: Miaka 700 tangu alipotangazwa kuwa ni ...
Takrima: Umuhimu wa kutoa msaada kwa Makanisa bila kutarajia malipo yoyote, kwani Mungu ndiye mtoaji na binadamu ni msimamizi tu wa bidhaa inayotolewa, changamoto na mwaliko wa ...
Kimsingi hii ndiyo dhamana na jukumu ambalo Shirika la Masista la Dada Wadogo wa Mtakatifu Francisko wa Assisi, Jimbo kuu la Dar es Salam waliyojitwaliwa kwa kuzindua Shule ya ...
Mama Evaline Malisa Ntenga Mjumbe wa Bodi ya Umoja wa Wanawake Wakatoliki Duniani, Rais wa WUCWO” Afrika na Mwenyekiti wa WAWATA, Taifa, katika makala hii anapembua kwa kina na ...
Baba Mtakatifu Francisko, Dominika, tarehe 18 Februari 2024 wakati wa Sala ya Malaika wa Bwana, ameyaelekeza macho na mawazo yake katika Jimbo la Cabo Delgado mji mkuu wa Pemba, ...
Kumbukizi ya Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Siku ya Kimataifa ya Sala na Tafakari katika mapambano dhidi ya biashara haramu ya binadamu tarehe 8 Febuari 2024 kwa utashi na busara za ...
Baba Mtakatifu Francisko, Jumatatu tarehe 22 Januari 2024 amekutana na kuzungumza na washiriki wa Kongamano la Divai lililoandaliwa na Makampuni ya Vinitaly. Hawa ni wakulima na ...
Kardinali Marcello Semeraro, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Kuwatangaza wenyeheri na watakatifu katika mahubiri yake amekazia kuhusu: Umuhimu wa kutangaza na kushuhudia Habari ...
Balozi Georgios F. Poulides, Dekano wa Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa mjini Vatican yapatayo 184 kutoka Cyprus katika hotuba kwa Baba Mtakatifu Francisko kama ...
Wanafunzi Wakatoliki kutoka vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu nchini Tanzania wanaadhimisha Kongamano la 15 la Kitaifa linalofanyika Kitaifa katika Jimbo Kuu Katoliki Mwanza ...
Baba Mtakatifu Francisko anasema, vita Ukanda wa Gaza imepelekea watoto elfu tatu kupoteza maisha yao. Nchini Ukraine kuna watoto zaidi ya mia tano na huko nchini Yemen, kuna ...
Miongoni mwa mada zilizojitokeza katika hotuba za viongozi wa dunia katika Cop28,moja inayopata msukumo mkubwa kutoka kwa maneno ya Papa ni ile ya uwajibikaji wa kimaadili wa nchi ...
Baba Mtakatifu Francisko anafanya kumbukizi ya Miaka 54 tangu alipopewa Daraja Takatifu ya Upadre hapo tarehe 13 Desemba 1969, Siku ambayo Mama Kanisa anaadhimisha Kumbukumbu ya ...
Kardinali Pietro Parolin anaelezea kuhusu matumaini ya Papa katika mkutano wa COP28, Mkataba wa COP21 uliofanyika mjini Paris; Vita kati ya Israeli na Palestina; Urusi na Ukraine ...
Baba Mtakatifu Francisko, kuanzia tarehe 1 Desemba hadi tarehe 3 Desemba alitarajia kwenda Dubai, Falme za Kiarabu ili kushirikishi katika Mkutano wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa ...
Baba Mtakatifu Francisko wakati wa Sala ya Malaika wa Bwana, Sherehe ya Kristo Yesu Mfalme wa Ulimwengu aliwaambia vijana kwamba, anapenda kuwakumbatia vijana kwa maisha ya sasa na ...
Mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mwenge yamenogeshwa na kauli mbiu “Utafiti na Ubunifu kwa Maendeleo ya Taifa” na mgeni rasmi alikuwa ni Askofu Flavian Matindi Kassala ...
Papa Francisko amesema, tarehe 1 Desemba hadi tarehe 3 Desemba atakuwa Dubai, Falme za Kiarabu ili kushirikishi katika Mkutano wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya ...
Baba Mtakatifu, Jumatatu tarehe 27 Novemba 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Santiago Peña Palacios wa Paraguay ambaye baadaye amekutana na kuzungumza na Kardinali ...
Baba Mtakatifu Francisko anawashukuru wale wote waliojiunga na Jukwaa la Kazi la Laudato ambalo kwa sasa limeingia katika mwaka wake wa pili. Amewaalika waamini pamoja na watu wote ...
Mahojiano: Vita kati ya Israeli na Palestina; Uraibu wa vita na chuki dhidi ya Wayahudi; Vita kati ya Urusi na Ukraine; Wimbi kubwa la wahamiaji; Dhamana na utume wa wanawake ...
Baba Mtakatifu Francisko amekubali mwaliko uliotolewa kwake na Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan wa Falme za Kiarabu. Kumbe, Baba Mtakatifu ametia nia ya kwenda na kushiriki ...
Papa katika ujumbe aliomwandikia Dr. Qu Dongyu, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa anakazia mambo makuu yafuatayo: mateso na mahangaiko ya watu ...
Waraka wa Kitume wa “Laudate Deum” yaani “Asifiwe Mungu Kwa Ajili ya Viumbe Vyake Vyote” unakita ujumbe wake juu ya athari za mabadiliko ya tabianchi duniani; Uharibifu na hatari ...
Baba Mtakatifu katika ujumbe wake uliosomwa kwenye mkutano huu, amejikita zaidi katika Uchumi kama mchakato, uchumi na utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote, nafasi ya wanawake ...
Papa amewapongeza wajumbe wote kwa kuadhimisha Jubilei ya Miaka 800 tangu kuanzishwa kwa Udugu wao, Siku ambayo Kanisa linaadhimisha pia Sikukuu ya Bikira Maria wa Rozari Takatifu, ...
Jina la Waraka Mpya wa kitume wa Papa ni“Laudate Deum.Papa mwenyewe alisema hayo alipokuwa akihutubia washiriki wa mkutano wa wakuu wa vyuo vikuu vya Amerika ya Kusini siku ya ...
Siku ya kuombea viumbe ni siku yenye tabia ya kiekumeni kwa sababu ya kuadhimishwa pamoja na Kanisa la kiorthodox.Siku hii ndiyo mwanzo wa kipindi kiitwacho cha kazi ya Uumbaji ...
Kardinali Pietro Parolin, Katibu mkuu wa Vatican, Jumamosi tarehe 12 Agosti 2023 amemweka wakfu Monsinyo Germano Penemote kuwa Askofu mkuu na Balozi wa Vatican nchini Pakistan. ...
Baraza la Makanisa Ukanda wa Amazonia, kuanzia tarehe 8 hadi 11 Agosti 2023 linaadhimisha mkutano ambao pamoja na mambo mengine, ulipania kuweka mbinu mkakati wa kuhifadhi msitu wa ...
Baba Mtakatifu Francisko ameridhia kwamba, Ujumbe wa Siku ya Kuombea Amani Duniani tarehe Mosi Januari 2024 unogeshwe na kauli mbiu “Akili Bandia na Amani.” Baba Mtakatifu ...
Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano tarehe 3 Agosti 2023 alifungua rasmi Maadhimisho ya Siku ya 37 ya Vijana Ulimwenguni kwa kuwakaribisha vijana kutoka sehemu mbalimbali za dunia ...
Kongamano la Tano la Shirika la Kipapa la Utoto Mtakatifu Kitaifa limeadhimishwa Jimboni Kondoa kuanzia tarehe 22-26 Juni 2023 kwa kunogeshwa na kauli mbiu “Ushirika na utunzaji wa ...
Mama Evaline Malisa Ntenga, Mwenyekiti wa WAWATA Taifa katika makala hii, anatoa muhtasari wa semina iliyofanyika wakati wa maadhimisho ya Mkutano Mkuu wa 44 wa Kitaifa uliofanyika ...
Mkutano Mkuu wa 44 wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Wanawake Wakatoliki Tanzania, WAWATA Taifa, kuanzia tarehe 9 hadi tarehe 11 Juni 2023 katika hotuba yake amekazia kuhusu: Lengo msingi ...
Mama Kanisa anatufundisha kuwa Utatu Mtakatifu ni fumbo la imani kuwa katika Mungu mmoja kuna Nafsi Tatu zisizogawanyika katu yaani Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho. Hizi ...
Mama Evaline Malisa Ntenga, Mjumbe wa Bodi Umoja wa Wanawake Wakatoliki Duniani na Rais wa WUCWO Afrika, ambaye pia ni Mwenyekiti wa WAWATA, Taifa, nchini Tanzania katika makala ...
Baba Mtakatifu Francisko katika dibaji ya kitabu anasema, Kitabu hiki kinatoa imani na matumaini, dhamana na wajibu wa vijana wa kizazi kipya; umuhimu wa kufanya mabadiliko katika ...
Askofu Simon Chibuga Masondole wa Jimbo Katoliki la Bunda, Tanzania, hivi karibuni amezindua Kampeni ya Mbio za Mama Bikira Maria kwa mwaka 2023 kitaifa maarufu kama “MARIATHON” ...
Mei Mosi ya kila Mwaka, Jumuiya ya Kimataifa inaadhimisha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani. Kanisa katika huruma na upendo wake ili apate kuwalinda na kuwatuliza wafanyakazi duniani, ...
Viongozi wa kidini na kisiasa wanapaswa kujizatiti vyema kulinda na kutunza mazingira nyumba ya wote, kwani mazingira ni sehemu muhimu sana ya kazi ya uumbaji, kumbe kwa viongozi ...
Patriaki Bartolomeo wa kwanza wa Kanisa la Kiorthodox la Costantinopoli, katika tafakari yake ya Sherehe ya Pasaka anagusia: Mateso ya Ijumaa Kuu na Furaha ya Ufufuko wa Bwana, ...
Katika Maadhimisho ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Maji kwa Mwaka 2023 ambao umefunguliwa rasmi tarehe 22 Machi, Siku ya Maji Duniani kwa Mwaka 2023 huko New York, Marekani, Baba ...
Ni katika maadhimisho ya Sikukuu ya Mtakatifu Yosefu, tarehe 19 Machi 2013, Baba Mtakatifu Francisko aliposimikwa rasmi kuwa Khalifa wa Mtakatifu Petro wa 266 kwa kuchagua jina la ...
Liturujia ya Neno la Mungu Dominika ya IV ya Kipindi cha Kwaresima Mwaka A wa Kanisa, waamini wanaalikwa kutafakari Fumbo la mateso katika maisha ya mwanadamu; upofu wa maisha ya ...
Dominika ya Nne ya Kipindi cha Kwaresima ni dominika ambayo inafahamika pia kama dominika ya furaha. Maneno ya wimbo wa mwanzo katika dominika hii ndiyo yanayodokeza furaha hiyo ...
Katika ujumbe uliotiwa saini na Kardinali Parolin katibu wa Vatican katika fursa ya mkutano kuhusu Bahari Yetu,uliohitimishwa hivi karibuni katika Jiji la Panama,Papa Francisko ...
Katika hotuba yake, Baba Mtakatifu Francisko ameupongeza Mfuko huu kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi cha Miaka 75 iliyopita na kwamba, ni filamu inatoa fursa kwa ...
Papa amekazia kuhusu: Utume wa Wayesuit, Jubilei ya Miaka 1700 ya Kanuni ya Imani ya Nicea, Nadhiri ya Utii wa Wayesuit kwa Khalifa wa Mtakatifu Petro, Wito na Utume wa Khalifa wa ...
Idadi ya watu waliozama katika maelekeo ya shauku ya jinsia ya aina ileile sio ya kupuuzia. Hawayachagui maelekeo haya na kwa walio wengi ni swala la kujaribu. Uhusiano nao wapaswa ...
Papa Mstaafu Benedikto XVI: Katekisimu iliidhinishwa kwa Waraka wa Mtakatifu Yohane wa Pili: “Fidei depositum” yaani “Amana ya Imani” uliosindikiza kuchapishwa kwa Katekisimu ya ...
Chuo cha Ufundi Mgongo ni Chuo kinachoendeshwa na kusimamiwa na Wamisionari wa Consolata na kiko Jimbo Katoliki la Iringa, Tanzania. Chuo kinapokea vijana walio maliza kidato cha ...
Papa Francisko amejipambanua kuwa ni: Mtetezi wa haki na amani; kwa kuendelea kusimama kidete katika mchakato mzima wa uinjilishaji na utamadunisho kama sehemu ya ujenzi wa Kanisa ...
Mkazo ni kuhusu: Mchakato wa ujenzi wa: Umoja, mshikamano na ushirikiano kati ya watu wa Mataifa, kwa ajili ya kujenga na kudumisha amani na utunzaji bora wa mazingira nyumba ya ...
Amani na haki ni matunda ya toba ya kweli na wongofu wa ndani, ishara na alama ya kumpokea Masiha ajaye na kuwabatiza watu kwa Roho Mtakatifu na kwa Moto na kuondoa uovu wote ...
Mafungamano ya urafiki wa kijamii ni muhimu sana kwani yanavuka mipaka ya nchi, tamaduni, dini, imani na mafao binafsi, kwa kujenga na kuturubisha uwajibikaji sanjari na utunzaji ...
Ubunifu ni hitaji muhimu kwa wakati huu katika mchakato wa kulinda na kutunza ikolojia, kati ya binadamu na kazi ya uumbaji. Ubora huu unanogeshwa na sera na mikakati ya Mtandao wa ...
Jukwaa la Laudato si ni jibu la kusikiliza na kujibu kwa makini kilio cha Dunia Mama na Kilio cha Maskini, ili kuwaletea watu matumaini. Hii ni changamoto ya watu kusimama kidete ...
Papa Francisko: Changamoto ya utunzaji bora wa mazingira haina budi kupewa kipaumbele cha pekee kama ilivyo pia kwa sekta ya afya na vita sehemu mbalimbali za dunia, wito kwa wote ...
Siku ya VI ya Maskini Duniani: Umaskini wa Kristo uwawajibishe waamini kushirikiana na kushikamana katika matendo ya huruma: kiroho na kimwili, kama kielelezo cha tunu msingi ...
Kongamano la Bahrain la Majadiliano; Hati ya Udugu wa Kibinadamu kwa Ajili ya Amani na Utulivu; Mchango wa wanawake katika: ustawi, maendeleo na mafao ya wengi; Vita kati ya ...
Papa amekazia umuhimu wa familia kama inavyofafanuliwa kwenye Katiba ya Bahrain kama mti wa maji ya uhai yanayojenga na kuimarisha udugu wa kibinadamu unaosimikwa katika misingi ya ...
Mtakatifu Francisko anatambulikana sana kwa kutoa kipaumbele cha kwanza kwa: Maskini, Amani na Mazingira nyumba ya wote; chimbuko la yote haya ni upendo kwa Kristo Yesu, ...
Kongamano la Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Barani Asia, FABC, huko Bangkok, kuanzia tarehe 12 Oktoba hadi 30 Oktoba 2022 linanogeshwa na kauli mbiu “Kutembea pamoja ...
Jumuiya ya Mtakatifu Egidio kuanzia tarehe 23 hadi 25 Oktoba 2022 inaendesha Mkutano wa Kimataifa wa Amani, Dini na Tamaduni katika Majadiliano, kwa kunogeshwa na kauli mbiu “Kilio ...
Mtakatifu Gaspari del Bufalo ni mfano bora wa uinjilishaji wa kina unaojikita katika ushuhuda na utakatifu wa maisha; kwa kusikiliza na kujibu kilio cha damu ya maskini, wagonjwa ...
Baba Mtakatifu Francisko katika Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani anasema, mwaka 2022 FAO inaadhimisha kumbukizi ya Miaka 77 tangu kuanzishwa kwake, kwa lengo la kupambana na ...
Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake, kwa washiriki wa Kongamano hili, Jumamosi tarehe 8 Oktoba 2022 amekazia kuhusu: Ukuaji wa uchumi unaozingatia utu, heshima na haki ...
Mkutano mkuu wa 37 wa Shirika la “Wamisionari wa Oblate wa Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili” kauli mbiu: “Mahujaji wa Matumaini katika Ushirika.” Baba Mtakatifu katika hotuba ...
Kardinali Matteo Maria Zuppi kama sehemu ya maadhimisho ya Sikukuu hii yaliyofanyika kwenye Kanisa kuu la Mtakatifu Francisko mjini Assisi, Italia, katika mahubiri yake amekazia ...
Papa anapenda kuungana na wajumbe wa Utume wa Bahari, kumwimbia Mungu utenzi wa shukrani kwa mafanikio makubwa yaliyokwisha kupatikana katika kipindi cha miaka 100 iliyopita, kama ...
AMECEA na Mazingira: Kanisa Katoliki kwa kuthamini na kujali umuhimu wa utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote, maadhimisho haya yakachukua mfumo wa kiekumene na kilele chake ni ...
Jumuiya ya Kimataifa inapaswa kusimama kidete kulinda: utu, haki na heshima ya binadamu dhidi ya vitisho vinavyohatarisha misingi ya amani na utulivu na hasa zaidi mapambano ya ...
Maisha na utume wa Kanisa unaopata chimbuko na hatima yake katika Ekaristi Takatifu. Wajitahidi kushikamana na Yesu katika: Neno, Ibada ya Kuabudu Ekaristi Takatifu, Rozari, lakini ...
Siku ya Kutokomeza Silaha za Nyuklia Duniani kwa mwaka 2022, Baba Mtakatifu Francisko anatamka kwa mara nyingine tena kwamba, matumizi ya nguvu za atomic kwa ajili ya vita, kwa ...
WAWATA katika risala yao kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia S. Hassan, wameelezea historia ya WAWATA, Malengo ya Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwa WAWATA, ...
Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe ulioandikwa kwa niaba yake na Askofu mkuu Edgar Peña Parra, Katibu mkuu msaidizi wa Vatican, kwenda kwa Mama Evaline Malisa Ntenga, ...
Mama Evaline Malisa Ntenga katika makala hii, anaelezea historia ya WAWATA, dhamana na wajibu wa WAWATA katika malezi na makuzi ya watoto na vijana ndani ya familia. Maadhimisho ya ...
Ni matumaini kwamba Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP27) utakaofanyika nchini Misri, Mwezi Novemba 2022, pamoja na Mkutano wa 15 wa Umoja wa Mataifa wa ...
Siku ya Kuombea Utunzaji Bora wa Mazingira kwa mwaka 2022: Kauli mbiu: “Sikilizeni Kilio cha Kazi ya Uumbaji.” Papa anakazia wongofu wa kiikolojia; (COP27) utakaofanyika Misri, ...
Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 50 ya WAWATA: Kauli mbiu: “Upendo, Mshikamano na Uadilifu wa Uumbaji” na kilele ni tarehe 11 Septemba 2022 kwenye Uwanja wa Mkapa, Jijini Dar es ...
Lengo na shabaha Mwinjili Luka ni kuwahimiza wakristo wa jumuiya yake kutambua wajibu wao wa kushika imani, si kwa mazoea tu bali kwa maisha halisi ya siku kwa siku, kama sehemu ya ...